TIBA NA MAGONJWA YA MACHO Written By Elphas Mkumbo on Tuesday, 19 September 2017 | 23:01 karibu katika mfululizo wa makala za afyaya macho, kama ulipitwa na somo lililotangulia basi bonyeza HAPA kuweza kusoma tena. . Leo tutazungumzia tatizo la wekundu wa macho au kitaalamu conjunctivitis. CONJUNCTIVITIS NI NINI?? Macho mekundu au conjunctivits kwa kitaalam ni maradhi yanayohusisha ukuta wa nje wa sehemu ya mbele ya jicho ijulikanayo kama conjunctiva. Conjuctiva ni ukuta ambao hulinda sehemu nyeupe ya jicho pamoja na ukuta wa ndani wa ngozi ifunikayo jicho, yaani kope. Maradhi haya hutokea baada ya kuvimba kwa ukuta na mishipa midogo ya damu iliyo kwenye ukuta huu. Kuna mambo mengi yanayosababisha macho yawe mekundu. Sababu hizi ni pamoja na maambukizi ya virusi au vimelea vya maradhi aina ya bakteria (mfano bakteria wanaosababisha kisonono). Kemikali zinazosababisha mzio kwa mfano sabuni, mafuta ya kupaka, vumbi au moshi. Inaelezwa, moshi ni sababu ...
Popular posts from this blog
Aleji au mzio unaosababishwa na dawa Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi kingine cha Ijue Afya yako. Wiki iliyopita tulianza kuzungumzia tatizo la aleji au mzio, mada ambayo leo pia tutaendelea kuijadili. Pia tutazungumzia aleji inayosababishwa na dawa na namna ya kujikinga nayo. Tafadhalini jiungeni nami hadi mwisho wa kipindi. &&&&&& Kama tulivyosema wapenzi wasikilizaji mzio au aleji ni matokeo ya mpambano uliopitiliza kati ya kinga ya mwili na kitu chochote ambacho kwa ujumla huwa hakina madhara kwa mwili, inapotokea kimeingia ndani ya mwili au kimegusa sehemu fulani ya mwili. Unachopaswa kukijua kuhusu mzio ni hali inayotokea wakati seli za mwili wako zinapokataa kitu ambacho kwa mtu wa kawaida hakina madhara. Mzio hujitokeza kwa alama au dalili mbalimbali na huleta matokeo yenye ishara nyingi mwilini. Kuna aina mbili kuu za mizio, zile zinazosababishwa na kitu ambacho kiko nje ya mwili na hu...
Ugonjwa wa vipele kutokana na nappy za kutupa (mapampas) Leo nimeona tujulishane na kubadilishana mawazo kuhusu hili suala la allergy ya diapers (tunayaita mapapas) kwa watoto wetu. Kutokana na mabadiliko ya kimaendeleo siku hizi sio kama zamani watotot wetu yumezowea kuwavalisha chupi/ nappy za kutupa, yaani zikishajaa mikojo hatufui tena badala yake unazitupa. Vipele kutokana na diapers ni kawaida kwa watoto na sio ishara ya kumtelekeza mtoto. Huu ni ugonjwa wa ngozi amba unatokana na kugusana na kitu ambacho husababisha allergy na matokeo yake vipele hutokea. Angalia picha zifuatazo: Huu ugonjwa husababishwa na bacteria ama fangasi ambao kwa kawaida huwepo kwenye ngozi ya mtoto. Kumbadilish mtoto diaper mara kwa mara inasaidia kupunguza vichochezi kwa allergy hii. Vichochezi huwepo kwenye ngozi ya mtoto. Mtoto anapokuwa na ugonjwa huu jitahidi kuacha kutumia baadhi ya mafuta ama creams ambazo zisizopitisha hewa kuingia kwenye ngozi (mfano, petrolium jelly, mafuta ya mgan...
Comments
Post a Comment